MATETEMEKO MAKUBWA (8) YA ARDHI MWAKA 2025!

BADO MATETEMEKO NI ISHARA YA KURUDI KWA YESU

Bado matetemeko ya Ardhi! yanabaki kuwa ishara ya kurudi kwa pili kwa YESU!

Luka 21:11 “kutakuwa na matetemeko makubwa ya nchi; na njaa na tauni mahali mahali; na mambo ya kutisha na ishara kuu kutoka mbinguni”.

Januari

  • Tibet, China – 7 Januari 2025
    Ukubwa wa tetemeko: 7.1 Mw
    Vifo: Zaidi ya 126
    Athari: Maelfu walijeruhiwa

Machi

  • Sagaing, Myanmar – 28 Machi 2025
    Ukubwa wa tetemeko: 7.7–7.9 Mw
    Vifo: Zaidi ya 5,456
    Athari: Maelfu walijeruhiwa, uharibifu mkubwa wa miundombinu

Aprili

  • Istanbul, Uturuki – 23 Aprili 2025
    Ukubwa wa tetemeko: 6.2 Mw
    Vifo: Hakuna rasmi
    Athari: Watu 151 walijeruhiwa kutokana na hofu na kuanguka majengo

Juni

  • Cundinamarca, Kolombia – 8 Juni 2025
    Ukubwa wa tetemeko: 6.3 Mw
    Athari: Zaidi ya 31 walijeruhiwa

Julai

  • Kamchatka, Urusi – 29 Julai 2025
    Ukubwa: 8.8 Mw
    Athari: Kuamsha tahadhari za tsunami katika Bahari ya Pasifiki

Agosti

  • Kunar, Afghanistan – 31 Agosti 2025
    Ukubwa wa tetemeko: 6.0 Mw
    Vifo: Zaidi ya 800
    Athari: 2,800 walijeruhiwa, uharibifu wa nyumba

Septemba

  • Santorini, Ugiriki – Septemba 2025
    Ukubwa: Matetemeko zaidi ya 28,000 yalitokea ndani ya wiki chache
    Vifo: Hakuna taarifa rasmi

Oktoba

  • Davao Oriental, Ufilipino – 10 Oktoba 2025
    Ukubwa wa tetemeko: 7.4 Mw
    Vifo: Zaidi ya 10
    Athari: Maelfu walijeruhiwa, uharibifu mkubwa wa nyumba na miundombinu

BADO BIBLIA NI KITABU KINACHOISHI NA KUTABIRI MAMBO YA KWELI!

YESU KRISTO ANARUDI!

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Scroll to Top