Sisi ni nani?
sisi ni Jumuiya ya Watumishi wa Mungu kutoka kila mahali, wenye nia ya kuujenga mwili wa Kristo kwa njia ya kufundisha Neno la MUNGU kupitia tovuti hii..
Tuna amini kuwa kila mmoja anayo nafasi ya kujifunza kwa njia ya kusoma Makala na kwa njia ya kuuliza maswali pia kila mmoja analo jukumu la kufundisha wengine ufunuo mkamilifu wa Neno la MUNGU.
Tunayo furaha kukukaribisha wewe unayetafuta maneno ya Uzima kupitia tovuti hii, maneno yanayohubiriwa humu ni bure, na Ikiwa umebarikiwa na Neno la MUNGU kumbuka kumshukuru MUNGU kwa sadaka yako kwa Watumishi wa MUNGU na watenda kazi waliotumiwa na Bwana kukulisha chakula cha Uzima
