Inategemea na mazin...
 
Notifications
Clear all

Inategemea na mazingira

1 Posts
1 Users
0 Reactions
5 Views
(@Solomon peter)
New Member Guest
Joined: 3 weeks ago
Posts: 1
Topic starter  

Kama huyo mtu yupo tayari kubadili imani naona inawezekana ila kama hataki hapo hatuna ruhusa.

 

Ezra 9:11 ulizoziamuru kwa midomo ya watumishi wako, manabii, ukisema, Nchi ile, mnayoiendea ili kuimiliki, ni
nchi ya uchafu, kwa sababu ya uchafu wa watu wa nchi zile, kwa ajili ya machukizo yao, yaliyoijaza tangu
upande huu mpaka upande huu, kwa uchafu wao.
12 Basi, msiwape wana wao binti zenu, wala msitwae binti zao kuwa wake za wana wenu, wala msiwatakie
amani wala kufanikiwa milele; ili mpate kuwa hodari, na kula wema wa nchi hiyo, na kuwaachia watoto
wenu iwe urithi wa milele.


   
Quote
Share:
Scroll to Top