Ifuatayo ni baadhi ...
 
Notifications
Clear all

Ifuatayo ni baadhi tu

2 Posts
2 Users
0 Reactions
21 Views
(@Hansi)
New Member Guest
Joined: 3 weeks ago
Posts: 1
Topic starter  

Zaburi 34:18

Bwana yu karibu na waliovunjika moyo, Huwaokoa waliopondeka roho.


   
Quote
 Hans
(@hans)
New Member
Joined: 3 weeks ago
Posts: 1
 

2 Wakorintho 1:3-4

Ahimidiwe Mungu, Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo, Baba wa rehema, na Mungu wa faraja zote; atufarijiye katika dhiki zetu zote, ili sisi nasi tuweze kuwafariji wale walio katika dhiki ya namna yoyote, kwa faraja hiyo tuifarijiwayo na Mungu.

 

Zaburi 147:3

Huponya waliovunjika moyo, Hufunga-ndugu jeraha zao.

Zaburi 73:26

Mwili wangu na moyo wangu vinaanguka; Bali Mungu ni nguvu ya moyo wangu, na fungu langu milele.

Zaburi 30:5

Maana hasira yake hudumu kitambo kidogo tu; Fadhili zake ni za maisha yote. Huwa kilio huja kukaa usiku, Lakini asubuhi huja furaha.

 

Mathayo 5:4

Heri waliao; maana hao watafarijiwa.


   
ReplyQuote
Share:
Scroll to Top