Forums NDOTO NA MAONO Notifications Clear all NDOTO NA MAONO RSS NDOTO NA MAONO Posts Topics Naota misiba misiba nini maana yake? Haipiti wiki mbili sijamwota mtu aliyekufa, kuna wakati hizi ndoto zinapotea ila kuna wakati zinarudi kwa kasi, yaweza kusababishwa na nini au zinaashiria nini,, 0 0 Share: