Uzima wa mtu haupo katika wingi wa vitu alivyo navyo
Luka 12:15 “Akawaambia, Angalieni, jilindeni na choyo, maana uzima wa mtu haumo katika wingi wa vitu
vyake alivyo navyo”.
Uzima wangu na wako unapaswa uwe katika MUNGU na si katika wingi wa vitu tulivyonavyo.. Unaweza kuwa na kila kitu lakini bado usiwe na YESU, kwahiyo ni bora umpate YESU, kwani huyo ndio mwenye funguo zote za maisha.
Ubarikiwe.